MKUTANO MAALUMU WA KAMATI KUU YA ACT WAZALENDO
 |
Kamati Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo ikiendelea na kikao chake kinachofanyika leo katika Hotel ya ONOMO (Ramada) kujadili hali ya kisiasa nchini na hatma ya chama hicho kujiunga katika Serikali ya Unoja wa Kitaifa Zanzibar (SUK) |
No comments:
Post a Comment