NA CHARLES MULLINDA
KITENDO cha kumshawishi mtu kufanya mapenzi na
mnyama au watu watu wawili kufanya mapenzi mbele ya mtu mwingine au mbele ya
kadamnasi ya watu ni kosa jinai.
Hayo yameelezwa na wanasheria waliozungumza na
Tanzania PANORAMA kuhusu sakata linalomuandama Idi Mzee ambaye ni dreva wa
Kampuni ya Said Salim Bakhresa (SSB) anayelalamikiwa na mpenzi wake, jina
limehifadhiwa kuwa amekuwa akimfanyisha mapenzi na mbwa, kumfanyisha mapenzi na
wanawake wenzake, kumfanyisha mapenzi na wanaume zaidi ya mmoja huku yeye
akiwaangalia kabla ya kushiriki naye tendo hilo na pia kumfanyisha mapenzi
kinyime cha maumbile.
Hata hivyo, wanasheria hao waliozungumza kwa sharti
la majina yao kuhifadhiwa kwa kile walichodai kuwa madai hayo yanatia kinyaa
wamesema mwanasheria anayedaiwa kusimamia mkataba wa wapenzi hao kuachana kwa
sharti la kulipana pesa hana hatia na alichokifanya hamkimfungi kisheria.
“Mwanasheria anayedaiwa kusimamia mkataba wa wapenzi
hao kuachana, na sitaki kumtaja jina mimi hata kama ametajwa kwa sababu ya
jambo lenyenye hili lilivyo hana kosa lolote. Hata kama alijua matendo machafu
ya watu hao hana kosa. Mwanasheria ni kama karani tu.
“Na huo mkataba aliowasainisha na kulipana fedha
kama inavyodaiwa, pamoja na kwamba aliuandaa yeye kama inavyodaiwa lakini
hautambuki kisheria.
“Lakini sasa, kitendo cha kufanya mapenzi na mbwa ni
kosa kisheria na mtu yoyote anayemshawishi mtu mwingine kufanya mapenzi na mbwa
anakuwa ametenda kosa la jinai. Hilo haliko katika makosa ya madai,” alisema
mmoja wa wanasheria waliozungumza na Tanzania PANAROMA.
Mwanasheria mwingine aliyezungumzia hilo alisema
binadamu kufanya mapenzi na wanyama hairuhusiwi kisheria.
“Binadamu kufanya mapenzi na mnyama hairuhusiwi
kisheria na au kufanya mapenzi kinyume cha maumbile au kufanya mapenzi na mtu
zaidi ya mmoja.
“Sisi kama taifa la watu wastaarabu tena wenye
utamaduni mzuri kabisa tunapaswa kuyapiga vita kwa nguvu zetu zote mambo ya
aina hii pasipo kuagaliana usoni.
“Mwaka 2008, huko mkoani Mwanza, Hakimu Gadiel
Mariki aliwahukumu watu watatu kwenda jela miaka 20 kwa makosa ya kushawishi na
kufanya mapenzi na mbwa. Hawa walikuwa wafanyakazi wa kampuni moja
inayojihusisha na uchumbaji madini hapa nchini hivyo ni lazima watu waelewe
kufanya mapenzi na wanyama au mbele ya mtu mwingine ni makosa makubwa
kisheria,” alisema.
kama raia wa kawaida na mwenye comon sense, simwelewi huyo mwanasheria. nimuhimu sana kuzingatia maadilikatika fani hii ya sheria. haileti mantiki kuwatengenezea watu mkataba ambao hata objective zake makes no sense. hayo nimakubaliano yasiyokuwa na nguvu ya kisheria maana huwezi peleka mbele za vyombo vya sheria kudai haki yako.
ReplyDeletekwaupande mwingine, Mungu atuepushe sana na Tamaa za muda mchache zenye madhara ya muda mrefu. maana haopo huyo binti amezalilika na sheria ilimkomalia atachezea kifungo kirefu tuu maana hakulazimishwa na nikitu kilichokua endelevu. Mungu atusaidie