NA CHARLES MULLINDA
KAMPUNI ya vinywaji ya Mfanyabiashara Bilionea, Said Salim
Bakhresa (SSB) imeanza kuandamwa na kashfa za unyanyasaji wa kingono unaodaiwa
kufanywa na wasaidizi wa karibu wa mfanyabiashara huyo.
Taarifa za uhakika zilizoifikia Tanzania PANAROMA Blog kutoka
vyanzo mbalimbali vilivyo ndani ya kampuni hiyo na kuthibitishwa na maofisa wa
ngazi za juu wa Jeshi la Polisi, zimeeleza kuwa tayari jalada la uchunguzi
kuhusu moja ya kashfa hizo limefunguliwa katika Kituo cha Polisi Changómbe, kilichopo
Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.
Taarifa hizo za kikachero zimemtaja moja kwa moja, Idi Mzee
ambaye ni dreva wa Bilionea Said Bakhresa kuwa ndiye aliyefunguliwa jalada hilo
la uchunguzi na kwamba simu zake za kiganjani pamoja na ya mlalamikaji zinashikiliwa
na polisi kwa uchunguzi.
Inadaiwa kwamba mtuhumiwa alimshawishi kimapenzi kwa ukwasi
mkubwa wa fedha mwanamke aliyekuwa akifanya kazi baa ya Valle Inn (jina
tunalihifadhi) iliyopo Changómbe, Dar es Salaam kabla ya kumpa masharti magumu.
Taarifa kutoka kwa watu wa karibu na mwanamke huyo zimedai
kuwa Idi Mzee alimtaka mwanamke huyo awe anakutana naye akiwa na mwanamme
aliyemuandaa kwa ajili ya kufanya naye tendo la ndoa huku yeye akitazama na wakimaliza
ndipo Idi naye hufanya tendo hilo na mwanamke huyo huyo.
“Hii kesi ya watu Bakhersa na huyo dada (anamtaja jina)kweli
ipo polisi. Yule mwanamke kamshtaki Idi kwa unyanyasaji wa kingono lakini kwa
pia kwa kumfanyisha mapenzi na mbwa. Tatizo polisi wa Changómbe hata sijui kama
mtaifuatilia watawapa ushirikiano si unajua tena inahusu ofisi ya mtu mkubwa.
“Yule Idi ana tatizo fulani linalofahamika kwa wafanyakazi wenzake
wote na muhusika wake ambaye ni mkubwa wa pale pale anafahamika kwa hiyo hawezi
kufanya tendo la ndoa mpaka kwanza aone wengine wanafanya ndiyo na yeye anaweza
kufanya.
“Sasa alimwambia yule mwanamke awe anatafuta wanaume anawapa
pesa anakwenda nao kwake wanashiriki naye wakimaliza ndiyo Idi naye anashiriki
na mwanamke huyo. Baada akaanza kumwambia leo njoo na mzee sana, mara njoo na
kivulana cha shule na kwa vile ana pesa na yeye anasema pesa hiyo anapewa na mtu
wake Bakhresa, hakuna mtu mwenye njaa anayeweza kukataa.
“Katembea na wanaume wengi sana huyo dada aliokwenda nao kwa
Idi na kama ni ugonjwa sijui wangapi wameambukizwa Mungu apishilie mbali, na
hao wanaume aliotembea nao wamekwenda polisi wamehojiwa na wamekubali kuwa ni
kweli walikuwa wanafanya naye hayo matendo machafu mbele ya Idi na hadi mbwa
kaishawahi kumuingilia huyo dada mbele ya Idi. Sasa wanapambana kuizima hao
wakubwa na ndiyo tunasubiri kauli ya polisi,”kileleza chanzo cha Habari.
Alipoulizwa jana Mlinzi Mkuu wa SSB, Charles Zuakuu kuhusu kashfa
hiyo alibabaika kujibu ambapo alianza kusema hasikii vizuri anachoulizwa kisha
akakata na kuzima kabisa simu yake.
Alipopigiwa baadaye alitaka kwanza atajiwe jina la mtu aliyevujisha siri hiyo na jina la
mlalamikaji huku akikiri kuwa ni kweli Idi Mzee ni dreva wa Said Bakhresa.
Alipoulizwa leo Meneja Rasilimali Watu aliyejitambulika kwa
jina la Rose Mtesigwa kuhusu kashfa hiyo naye alianza kwa kubabaika alipoeleza
kuwa hamfahamu kabisa Idi Mzee na hana kumbukumbu ya kusikia jina lake mahali
popote wala kufanya kazi katika Kampuni ya Bakhresa.
Alipoelezwa kuwa lengo la Tanzania PANORAMA kuhoji ni kutaka
kuthibitisha iwapo ndiye anayechunguzwa na polisi kwa unyanyasaji wa kingono,
Mtesigwa alibadilisha kauli kwa kueleza kuwa Idi anayemfahamu yeye ameajiriwa
na Kampuni ya SSB wakati yeye anasimamia wafanyakazi wa Kampuni ya Chakula
(BFB)
“Hiyo skendo naifahamu vizuri sana na hata chanzo chenu cha
taarifa nakifahamu sana sana tu mimi hapa
ni HR na wakili wa kampuni pia. Lakini Idi sinaye mimi hapa yeye yupo SSB .
nendeni pale mapokezi nampa maelekezo dada
hapo chini atawapa namba za HR wa SSB yeye ndiyo ataweza kumzungumzia,”
alisema Mtesigwa.
Hata hivyo simu iliyotolewa na mtu wa mapokezi ilipopigwa
ilikuwa ikiita bila kupokelewa.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi Temeke, Amon Kakwale, alipopigiwa simu yake ilipokelewa na msaizidi wake aliyeeleza kuwa bosi wake yupo kwenye
kikao na ilipopigwa tena baadaye alipokea tena msaidizi wake na kueleza kuwa
kamanda huyo alimtaka mwandishi kufika ofisi kwake kuzungumzia suala hilo
badala ya kupiga simu.
No comments:
Post a Comment